NAY WA MITEGO AWAPA MAKAVU LIVE SHILOLE, NISHA NA WOLPER WAACHE KUHARIBU WASANII CHIPUKIZI (+Video)

Nay wa Mitego
Hit Maker wa "Nasaka Pesa" Nay wa Mitego amewachana tena wasanii wa Bongo Movie kwa kusema kuwa wanawaharibu wasanii chipukizi wa Bongo Fleva kwa kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na vijana hao.

Msanii huyo ameeleza hayo kupitia akaunti yake ya Instagram kwa kupost Video mbayo inamuonesha Nay akisema maneno hayo, nakuwataja Shilole, Nisha na Wolper. Lakini Mwisho wa Siku akamalizia kwa kusema kuwa ni Utani tu.

Hebu Mtazame hapa:

Previous Post Next Post