NIJUZE NIJUZE Author
Title: UEFA YAANZA NA SAKHO UCHUNGUZI WA MATUMIZI YA DAWA ZA KUSISIMUA MISULI
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Beki wa Liverpool Mamadou Sakho anachunguzwa na UEFA kwa kufeli ukaguzi wa madawa ya kulevya. Hii imekuja siku chache baada ya tuhuma zili...
Beki wa Liverpool Mamadou Sakho anachunguzwa na UEFA kwa kufeli ukaguzi wa madawa ya kulevya. Hii imekuja siku chache baada ya tuhuma zilizotolewa kuhusiana na wachezaji zaidi ya 150 wa EPL kuwa wanatumia dawa za kuongeza michezoni.
Mamadou Sakho
Raia huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 26, hatashiriki mechi yoyote wakati uchunguzi huo unapoendelea kulingana na Liverpool. Sakho alipatikana na dawa za kusisimua misuli baada ya mechi ya UEFA kati ya Liverpool dhidi ya Manchester United.

Sakho
aliyesajiliwa kwa pauni milioni 18 kutoka Paris St-Germain mwaka 2013 amecheza mechi 34 msimu huu ikiwemo mechi 10 katika ligi ya Europa. Alifunga katika ushindi wa Liverpool wa 4-3 dhidi ya Borussia Dormund mnamo tarehe 14 mwezi Aprili na kufuzu katika nusu fainali ya kombe hilo.

About Author

Advertisement

 
Top