Hatimae Ofisa Habari wa Club ya Yanga Jerry Murro ameamua kuweka kambi langoni ili kudhibiti ulaghai wa Mapato yanayofanywa na waliopewa zamana.
Msikilize hapa akiongelea suala hilo:

Akiongea na Lindiyetu.com suala la Ulaghai wa walinzi wa Mlangoni katika mashindano tofauti ya Mpira wa Miguu uwanja wa Taifa amesema kuwa watu wa Mlangoni huwa wanafanya udanganyifu mkubwa hivyo imepelekea wao kukaa Mlangoni ilikuangalia jinsi mambo yanavyokwenda.
Msikilize hapa akiongelea suala hilo:
Tags
SPORTS NEWS