HICHI NDICHO ALICHOKIANDIKA MTOTO WA RAIS MSTAAFU WA TANZANIA KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Ridhwani Kikwete
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mtoto wa Rais wa Tanzania wa awamu ya nne Ridhwani Kikwete amefunguka kuhusiana na familia yake na kuyasema haya katika sikuyake muhimu ya kuzaliwa kwake:-
"Ninaposherehekea siku yangu ya Kuzaliwa namuomba mungu awape Afya njema watoto wangu na mke, Baba na Mama yangu, wadogo zangu na ndg zangu , marafiki zangu,wana jimbo na Watanzania wote.#sikuyangu#happybirthdaytome.
Previous Post Next Post