BREAKING NEWS:: HATIMAE JUMA DUNI HAJI AREJEA C.U.F

Juma Duni Haji
Aliyekuwa Mgombea mwenza wa Kiti cha Urais kwa Tiketi ya CHADEMA mwaka 2015 Juma Duni Haji leo hii ameweza Kurejea kwenye chama chake cha awali chama cha wananchi CUF.
Previous Post Next Post