
Jana kulikuwa na sinto fahamu baada ya tetesi kusemekana kuwa watangazaji maarufu wa kipindi cha Power Breakfirst cha Clouds FM Gerald Hando na PJ Wamefukuzwa kazi.

Leo tetesi hizo zimezidi kushika mizizi baada ya watangazaji wa zamani wa kipindi hicho Phina Mango na Masoud Kipanya walioacha kazi miaka kadhaa nyuma Kushika nafasi zao...

Muda huu wako On Air wanatangaza Sambamba na Babra na Fredwaa
Tags
HABARI ZA KITAIFA