VIPEPERUSHI VYA UCHOCHEZI VYA MWAGWA UNGUJA, MSIKILIZE MPELELEZI AKIELEZEA (AUDIO)

map of Zanzibar
Kuna taarifa za kusambazwa kwa vipeperushi vyenye maneno yanayowataka wale vilioitwa ''machotara au Hizbu' , wanaoishi kwenye kisiwa cha Unguja wahame kwa usalama wao kabla ya marudio ya uchaguzi wa Machi 20. 

Sikiliza maelezo ya Mkurugenzi wa Upelelezi visiwani humo Salum Msangi
Previous Post Next Post