TAZAMA VIDEO JINSI RAIS MAGUFULI ALIVYOSHIRIKI CHAKULA CHA MCHANA NA WANANCHI MGAHAWANI

MAGUFULI APATA CHAKULA NA WANANCHI MGAHAWANI
Hivi ndivyo Rais Magufuli alivyowasili Mwanza akielekea Chato kwa ajili ya mapumziko, ashiriki chakula cha mchana na wananchi mgahawani pamoja na kuimba kwaya.

Tazama Video, LIKE, SHARE na utoe maoni yako.
Previous Post Next Post