
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wakazi wa wilaya ya Chato Mkoani Geita mapema leo.

Wakazi kutoka vitongoji mbalimbali wilayani Chato mkoa wa Geita, wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ambaye amewasili leo mjini humo alikozaliwa.

Rais Dkt Magufuli amewasili wilayani Chato kwa mara ya kwanza tangu awe Rais na kuwahutubia wananchi wa wilaya hiyo.
Tags
HABARI ZA KITAIFA