STAA HUYU AMEWEZA KU TREND NA HII PICHA BAADA TU YA KUJIUNGA NA INSTAGRAM NA TWITTER
byNIJUZE-
0
Mwigizaji Halle Berry kwa mara ya kwanza amejiunga na mitandao ya kijamii ya Twitter na Instagram na picha yake ya kwanza imekuwa miongoni mwa picha zilizoongelewa zaidi mtandaoni.
Halle Berry mwenye miaka 49 aliweka picha akiwa mgongo wazi bila Bra auTop yoyote na picha hii iliambatana na maneno haya “Habari kwa wote,leo siku nzuri kwangu,nategemea kushare na nyinyi mambo yote kwenye maisha yangu”.
Halle Berry ni miongoni mwa mastaa wachache ambao hawatumii muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii.