NAJ AAMUA KUUDHIRISHIA UUMA KUWA ANATOKA NA BARAKAH DA PRINCE KWA PICHA HII YA INSTAGRAM

Naj hataki kuficha tena penzi lake na muimbaji wa ‘Siwezi’, Barakah Da Prince.
Naj
Uhusiano wao ambao hauna muda mrefu tangu uanze, unaonekana kukolea siku hadi siku. Naj amepost picha Instagram ya kichwa cha Barakah huku mkono wake wenye kucha zilizopakwa rangi ya njano ikikikishika.

Ni hivi karibuni tu pia Barakah alidai kumpata mpenzi anayeamini kuwa ndiye aliyeushika moyo wake. Japo picha ya msichana aliyekuwa kwenye picha yake haikuonesha sura yake, msuko aliokuwa nao ulithibitisha kuwa alikuwa ni Naj.

Barakah

****************************
JE ULIPITWA NA VIDEO: NISHA AONYESHA MAHABA NIUE KWA KUCHORA TATOO YA BARAKA
Previous Post Next Post