
UEFA wametoka orodha ya timu hizo ambazo zimeingia nusu fainali mbabe wa Arsenal atakutana na Atletico Madrid wakati Real Madrid atakutana na Wolfsburg huku Buyern Munich akikutana na Benifica orodha kama ifuatavyo.

Mechi zote zitachezwa April 5-6 na April 12-13
Tags
SPORTS NEWS