DKT SHEIN ATANGAZWA MSHINDI WA URAIS ZANZIBAR (AUDIO)

Ali Mohammed Shein
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha, Mgombea urais wa CCM Dr. Ali Mohammed Shein Kuwa Rais wa Zanzibar kwa kupata ushindi wa kura 299,982 kati ya kura 341,865. sawa na asilimia 91.4.

Akitangaza matokeo hayo mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha alizungumzia hatua iliyochukuliwa na baadhi ya vyama vya siasa akiwemo mgombea wa CUF Seif Sharif Hamad kuwa haikufuata kanuni za tume hiyo kwa vitendo bali walijitoa kwa maneno kwa mujibu wakanuni hizo.

Unaweza kusikiliza hapo chini wakati Matokeo yote yakitangazwa.
Previous Post Next Post