RAIA WA NIGERIA AKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA UWANJA WA NDEGE WA MWALIMU JULIUS NYERERE

Dawa za Kulevya
Jeshi la Polisi limemkamata raia wa Nigeria, Ejiofor Ohagwu, kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA), kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya zenye uzito wa zaidi ya kilo nne ambazo thamani yake ni kubwa ingawa haijajulikana.
Previous Post Next Post