
Msanii wa kike wa bongo fleva Mwasiti baada ya kufanya vizuri na wimbo wa “Serebuka” ametuletea single mpya inaitwa “Sema Nae” ameamshirikisha Mwanadada mwenzake Queen Darleen.
Wimbo umetaalishwa na Producer Lufa & Chizain Brain Studio:Switch Records
Tags
MUSIC NEWS