BOMOABOMA YAMPITIA WASTARA WA SAJUKI, HALI YA AFYA YAKE SI NZURI AANDIKA MAZITO.
byNIJUZE-
0
DAR ES SALAAM Kupitia ukurasa wake wa Facebook, hii leo staa wa sanaa ya maigizo nchini Wastara Juma ameandika haya kuhusu issue ya bomoa bomoa inayoendelea Dar baada ya zoezi hilo kumkumba.