WEMA ADATA NA NGOMA MPYA YA X-BOYFRIEND WAKE DIAMOND PLATNUMZ #UTANIPENDA?, CHEKI VIDEO HAPA
byNIJUZE-
0
Baada ya Wema Sepetu kuachana na Diamond kwa sasa ameendelea kuwa shabiki wa mziki wake na kwa kuonyesha hivo ameungana na mashabiki wengine kuimba wimbo Mpya wa Diamond - UTANIPENDA ? Tazama hapo chini.