NIJUZE NIJUZE Author
Title: VIDEO MPYA YA BELLE 9 ILIYOSHUTIWA MOROGORO KUTAMBULISHWA NA TRACE URBAN TV
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Kabla mwaka 2015 haujaisha, Belle 9 amefanikisha kupiga hatua nyingine ya mafanikio ya muziki wake, ambapo wiki ijayo video ya wimbo wake m...
Kabla mwaka 2015 haujaisha, Belle 9 amefanikisha kupiga hatua nyingine ya mafanikio ya muziki wake, ambapo wiki ijayo video ya wimbo wake mpya uitwao “Burger Movie Selfie” itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza na Trace Urban wiki ijayo.
Belle 9
What's up Trace Family! Watch "Burger Movie Selfie" by @bellenine starting next week on @TRACE_Urban channel #325 on @DStv_Kenya
Hii itakuwa ni video ya pili ya Belle 9 kwa mwaka huu na toka ameanza muziki kupitishwa na kuoneshwa na channel hiyo ya kimataifa baada ya ‘Shauri Zao’ ambayo inapewa airtime ya kutosha.

Cha kufurahisha zaidi kuhusu kazi hii ni kwamba, Belle 9 ni wa Morogoro, video imeshutiwa Morogoro na director wa video aitwaye GQ ni wa Morogoro, producer wa audio Tiddy Hotter ni wa Morogoro japo alikuwa akifanyia kazi Mwanza na sasa amehamia Dar.

About Author

Advertisement

 
Top