MAMA LULU MICHAEL ATIA NGUMU MWANAE KUONDOKA NYUMBANI NA KWENDA KUISHI MWENYEWE GETO...

Marufuku! Mama mzazi wa staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ametia ngumu mwanaye huyo kuondoka nyumbani kwake na kwenda kuishi peke yake kwa kuwa bado anahitaji zaidi kufuata maadili yake.

Mama Lulu aliliambia gazeti la Ijumaa Wikienda kuwa, hawezi kumruhusu Lulu kwenda kupanga na kuishi peke yake wakati bado ni mdogo na kwamba bado anahitaji aishi katika maadili ya mzazi.

Chanzo:Global Publishers
Previous Post Next Post