AUDIO:: JANUARY MAKAMBA AELEZA UKWELI JUU YA PICHA ZILIZOTAFSIRIWA NI KASHFA KWA RAIS MAGUFULI KUPITIA AKAUNTI YAKE
byNIJUZE-
0
January Makamba ameamua kutoa ufafanuzi wa picha mbalimbali zilizowekwa katika akaunti yake ya Instagram ambazo zinadaiwa kumkashfu Rais Magufuli baada ya kumnyima Uwaziri Mkuu.