AJALI YATOKEA MBUGA YA MIKUMI NA KUUA NYATI WANNE NA KUSABABISHA FOLENI KUBWA

Ajali ya Nyati mikumi
Wanyama aina ya Nyati wanane wakiwa wamekufa baada ya kugongwa na gari aina ya Fuso kwenye mbuga ya Wanyama ya Mikumi na kusababisha foleni ya magari. 
Ajali ya Nyati mikumi
Tukio hili limetokea alfajiri ya leo tarehe 4 Desemba 2015.
Ajali ya Nyati mikumi
Previous Post Next Post