WIMBO MPYA KUTOKA KWA HARMONIZE "KIDONDA CHANGU" UPAKUE AU USIKILIZE HAPA

Harmonize ni msanii mpya katika Bongo Flevani ambae anafanya vizuri kwasasa na single yake ya “Aiyola” (tazama video hapa).
Harmonize - Kidonda Changu
Yupo katika usimamizi wa staa wa muziki, Diamond Platnumz huu ni wimbo wake ambao siyo rasmi umevuja unaitwa “Kidonda Changu” usikilize hapa.
Previous Post Next Post