HomeHABARI ZA WASANII HABARI NJEMA KWA MASHABIKI WA NASOZ KUTOKA KUSINI, HII NDIO VIDEO YAKE MPYA byNIJUZE -2:42:00 PM 0 Baada ya Kutesa na Kibao chake cha Niimbe nini Msanii Nasoz kutoka Kusini Mwa Tanzania anakuja na Kibao kipya alichokipa Jina la "Yamechenji".Video ya wimbo huu Itatoka hivi Karibuni, Hapa nakuonjesha Kionjo cha Video hiyo. Tags HABARI ZA WASANII Facebook Twitter