NIJUZE NIJUZE Author
Title: UPDATES:: MATOKEO YA NAFASI YA URAIS YALIYOTOLEWA LEO 27/10/2015 MCHANA, NA WABUNGE WALIOSHINDA
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
MATOKEO HAYA NI KWANUJIBU WA AKAUNTI YA UCHAGUZI MKUU YA TWITTER Matokeo ya Urais, Kaskazini Unguja Kura: 6,994 @MagufuliJP (CCM): 5...
Uchaguzi Mkuu Tz
MATOKEO HAYA NI KWANUJIBU WA AKAUNTI YA UCHAGUZI MKUU YA TWITTER

Matokeo ya Urais, Kaskazini Unguja Kura: 6,994 @MagufuliJP (CCM): 5,592 
@edwardlowassatz (Chadema): 1,019

Jimbo la Jang'ombe Kura:9,623 
@MagufuliJP (CCM): 6,567 
@edwardlowassatz (Chadema): 2,839

Muhambwe Kura: 64,820 
@MagufuliJP (CCM): 37,746 
@edwardlowassatz (Chadema): 22,804 

Jimbo la Malindi Kura:8,585 
@MagufuliJP (CCM): 2,581 
@edwardlowassatz (Chadema): 5,662

Tabora KaskaziniKura: 41,330 
@MagufuliJP (CCM):38,050 
@edwardlowassatz (Chadema):12,410

Jimbo la Siha Kura:41,330 
@MagufuliJP (CCM):18,252 
@edwardlowassatz (Chadema): 22,572

Jimbo la Ziwani Kura: 7,051 
@MagufuliJP (CCM): 592 
@edwardlowassatz (Chadema): 6,067

Jimbo la Wawi Kura:7351 
@MagufuliJP (CCM):1,748 
@edwardlowassatz (Chadema): 5,216

Jimbo la Ulanga Kura:54,987
@MagufuliJP (CCM): 32,297
@edwardlowassatz (Chadema): 20,489

Jimbo la Igalula Kura:38,063 
@MagufuliJP (CCM): 28,747 
@edwardlowassatz (Chadema): 8,593

Jimbo la Tumbatu Kura:10046 
@MagufuliJP (CCM):5,720 
@edwardlowassatz (Chadema): 3,967

Jimbo la Tandahimba Kura:101,289 
@MagufuliJP (CCM):49098 
@edwardlowassatz (Chadema):46288

Jimbo la Solwa Kura: 94,552 
@MagufuliJP (CCM): 66,069 
@edwardlowassatz (Chadema): 23,510

Jimbo la Ruangwa Kura: 62,172 
@MagufuliJP (CCM):34,516 
@edwardlowassatz (Chadema): 26,827

Jimbo la Newala Vijini Kura:44815 
@MagufuliJP (CCM):29799 @edwardlowassatz(Chadema):13958

Jimbo la Newala Mjini Kura:38921 
@MagufuliJP (CCM):21269 
@edwardlowassatz (Chadema):16980

Jimbo la Namtumbo Kura: 70,384 
@MagufuliJP (CCM):44,061 
@edwardlowassatz (Chadema):23,039

Jimbo la Masasi Mjini Kura:43447 
@MagufuliJP (CCM):24637 
@edwardlowassatz (Chadema):16778

WABUNGE WALIOTANGAZWA NA TUME WAMESHINDA LEO NI.....

Augustino Vuma Holle (CCM) ameshinda na kutangazwa kuwa Mbunge Mteule wa jimbo la Kasulu Vijijini.

Said Kubenea (Chadema) ameshinda na kutangazwa kuwa Mbunge Mteule wa jimbo la Ubungo.

Atashasta Nditye (CCM) ameshinda kiti cha Ubunge jimbo la Muhambwe akimshinda Felix Mkosamali aliyekuwa akitetea kiti hicho.

@ccm_tanzania kimeibuka na ushindi ngazi ya Ubunge katika majimbo yote matano ya mkoa wa Katavi.

Mpaka sasa @TumeYaUchaguzi imeshatangaza matokeo ya Urais kutoka katika majimbo 61 kati ya majimbo 264 (61/264)

ENDELEA KUWA NASI KWA MATOKEO ZAIDI

About Author

Advertisement

 
Top