"Nawashukuru wana-Bumbuli kwa kunipa heshima tena kuwa Mbunge wao. Nilikampeni siku tatu tu lakini tulielewana. Upendo nitaulipa kwa utumishi"
"Asante nyote kwa pongezi zenu. Asante tena wana-Bumbuli kwa kunipa tena heshima ya kuwawakilisha Bungeni. "