MGOMBEA UBUNGE KWA TIKETI YA CHADEMA ANUSURIKA KIFO KWA AJALI YA GARI
byUnknown-
0
Daniel naftal ngogo, mgombea ubunge wa jimbo la kwela mkoani sumbawanga kwa chama cha demokrasia na maendeleo chadema amenusurika kufa katika ajali iliyotokea mida ya saa tano asubuhi ya Leo.