BREAKING NEWS: NEC YAMTANGAZA RASMI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

John Pombe Magufuli
Mgombea urais wa CCM John Pombe Magufuli ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa kiti cha urais Tanzania. Kwa kupata kura 8,882,935 sawa na asilimia 58.46%
Previous Post Next Post