Unknown Unknown Author
Title: WAYNE ROONEY AWEKA REKODI MPYA KATIKA MAISHA YAKE YA SOKA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kama ambavyo ilivyokuwa kwa upande wa bara la Afrika kuliwa na michezo kadhaa kupigwa weekend hii na bara la Ulaya ilipigwa michezo kadha...
Wayne Rooney
Kama ambavyo ilivyokuwa kwa upande wa bara la Afrika kuliwa na michezo kadhaa kupigwa weekend hii na bara la Ulaya ilipigwa michezo kadhaa ya kuwania kufuzu kucheza michuano ya Euro 2016.
Wayne Rooney
Timu ya taifa ya Uingereza Jumamosi ya Septemba 5 ilicheza mechi dhidi ya San Marino.
Wayne Rooney
Nahodha wa Manchester United Wayne Rooney aliingia katika headlines baada ya kuifikia rekodi ya mfungaji bora wa muda wote katika timu ya taifa ya Uingereza Sir Bobby Charlton ambayo ni magoli 49, rekodi ambayo inatajwa kudumu kwa muda wa miaka 45. Rooney aliifikia rekodi hiyo baada ya kufunga goli moja katika ushindi wa goli 6-0 dhidi ya San Marino.
Coolen Rooney
Coolen Rooney akishuhudia Rooney akiingia katika rekodi ya kihistoria
Table
Msimamo wa Kundi E

About Author

Advertisement

 
Top