Unknown Unknown Author
Title: MANAGER WA MANCHESTER UNITED LOUIS VAN GAAL BADO ANAIMANI YA KUMNASA GARETH BALE AU CRISTIANO RONALDO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Manchester United hawatarudi nyuma katika kufanya zabuni ya baadaye kwa Gareth Bale au Cristiano Ronaldo kutokana na kuanguka kwa Real Ma...
Louis Van Gaal
Manchester United hawatarudi nyuma katika kufanya zabuni ya baadaye kwa Gareth Bale au Cristiano Ronaldo kutokana na kuanguka kwa Real Madrid juu ya kumsajili kipa nambari moja wa Manchester United David de Gea.

United na Real walibadilishana kauli ya lawama wiki iliyopita baada ya uhamisho wa kipa wa Kihispania De Gea kwenda Bernabeu kuporomoka kwa sababu ya makaratasi muhimu yalishindwa ​​kuwasilishwa katika muda uliopangwa. Ambapo mwisho ulikuwa ni Siku ya Jumatatu ya Juma lililopita.

De Gea Bado yupo na mkataba wa msimu mmoja Old Trafford, Hivyo hiyo ni ishara kwamba anaweza kuondoka Bure msimu ujao kwenda Madrid ambayo itakuwa ni faida kubwa kwa Miamba hiyo ya Kihispania huku United ikikosa senti moja katika uhamisho wake huo.
Gareth Bale
Gareth Bale amekuwa shabaha ya muda mrefu kwa Manchester United
Cristiano Ronaldo
United pia wana nia ya kumrejesha Old Trafford Cristiano Ronaldo.

Klabu hizi zimekuwa zikifanya mauziano ya wachezaji mara kwa mara katika miaka ya hivi karibuni, pamoja na David Beckham, Gabriel Heinze, Ronaldo na Javier Hernandez kuhamia Madrid na Angel di Maria kuwasili katika mwelekeo kinyume. Lakini United wanaimani yakuwa mgogoro wa sasa hauwezi kuathiri mazungumzo ya baadaye na hatua ya kushindwa kumsajili Ronaldo kwani wao bado wana uwezo wa kufanya uhamisho wa mchezaji huyo.

Sir Alex Ferguson alisema hakutaka "sell that lot a virus" wakati Madrid wanaanza kumuhitaji Ronaldo lakini, miezi 12 baadaye, mchezaji huyo wa kushoto aliuzwa kwa ada iliyovunja rekodi ya dunia kwa thamani ya Paun milioni 80.

United hawajakata tamaa kwa kuwa sajili Bale na Ronaldo  wachezaji ambao ni ghali zaidi Duniani kwa sasa katika Historia ya soka, kwani wapokatika mpango wao wa muda mrefu.

Tamaa hiyo ya kuleta angalau mmoja wao Old Trafford sikwa sababu ya De Gea ataondoka United, bali kama wataonenyasha dalili yoyote ya kwamba wangeweza kuondoka Bernabeu msimu ujao.
Marco Reus
Hata hivyo United, wameweza kuthibitisha maaslahi yao ya kutaka kumsajili kiungo wa Dortmund Marco Reus baada ya hivi karibuni kumpeleka kwa mkopo mchezaji wao Adnan Januzaj katika klabu hiyo ya kijerumani. 

About Author

Advertisement

 
Top