Unknown Unknown Author
Title: MTOTO WA H BABA TANZANITE AINGIA KWENYE SHINDANO LA UREMBO NCHINI RWANDA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mtoto wa kike wa H.Baba, Tanzanite , amedaiwa kutajwa kushiriki katika mashindano ya urembo ya watoto wa mastaa nchini Rwanda. H.Baba am...
Mtoto wa kike wa H.Baba, Tanzanite, amedaiwa kutajwa kushiriki katika mashindano ya urembo ya watoto wa mastaa nchini Rwanda.
Tanzanite
H.Baba ameiambia Bongo5 kuwa hivi karibuni Tanzanite atasafiri kuelekea nchini Rwanda kwaajili ya mashindano hayo.

“Kenya tayari wameshamuona, mwezi wa 12 anaenda Rwanda kwenye mashindano ya urembo ya watoto wa mastaa ambayo yanafanyika nchini Rwanda,” amesema H.Baba. “Tanzania kachaguliwa Tanzanite peke yake. Kwahiyo sisi wazazi tumefarijika kupata mtoto ambaye ana bahati na ana nyota ya kupendwa.”

About Author

Advertisement

 
Top