Unknown Unknown Author
Title: DALADALA LAACHA NJIA NA KUPARAMIA GENGE NA BAJAJ MAENEO YA KITUNDA JIJINI DAR ES SALAAM LEO ASUBUHI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wananchi wakiangalia ajali ya daladala lenye namba za usajili T 456 BVT lililoacha njia kutokana na mwendokasi na kuparamia genge na ba...
Ajali ya Daladala
Wananchi wakiangalia ajali ya daladala lenye namba za usajili T 456 BVT lililoacha njia kutokana na mwendokasi na kuparamia genge na bajaj yenye namba MC 611 ADC, maeneo ya Kitunda relini barabara ya Mombasa kwenda Moshi Baa Dar es Salaam leo asubuhi. Imeelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi wa daladala kukimbilia abiria. Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa.Ajali ya Daladala
Wananchi wakiangalia ajali hiyo.Ajali ya DaladalaDaladala hilo likiwa ndani ya genge baada ya kuacha njia.Ajali ya DaladalaBajaj namba MC 611 ADC, likiwa kanda ya daladala hilo baada ya kugongwa.

About Author

Advertisement

 
Top