Unknown Unknown Author
Title: DIAMOND PLATNUMZ APATA NOMINATION YA TUZO ZA MTV EMA 2015 BILA KUPINGWA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Msanii wa bongo fleva kutoka Tanzania "Diamond Platinumz" amepata nomination ya best African act katika tuzo za MTV Europe awards...
Msanii wa bongo fleva kutoka Tanzania "Diamond Platinumz" amepata nomination ya best African act katika tuzo za MTV Europe awards zitakazofanyika Milan Italy.
MTV Europe awards
Diamond amepita bila kupingwa pamoja na Davido, Yemi Alade, na Aka uku imebakia nafasi moja ya nominee ambapo ushindani ni kati ya Casper nyovest, wiz kid, DJ Arafat, K.o na stone boy ambao mshindi atapatikana kutokana na kupata tag nyingi za mashabiki.#inominatecaspernyovest.

About Author

Advertisement

 
Top