Title: HUU HAPA WIMBO WA DIAMOND PLATNUMZ WA KWANZA KUREKODIWA CHINI YA STUDIO MPYA ZA WASAFI
Author: Unknown
Rating 5 of 5
Des:
Hii ni moja ya Shot iliyorekodiwa na Diamond Platnumz huku ikionesha Studio mpya ya WASAFI na wimbo wa kwanza kurekodiwa na studio hiyo u...
Hii ni moja ya Shot iliyorekodiwa na Diamond Platnumz huku ikionesha Studio mpya ya WASAFI na wimbo wa kwanza kurekodiwa na studio hiyo ukiwa ukipigwa.. Hebu nisiwe Mbeya kwa kuongea sana maana naweza ongeza chumvi ikawa Sheeedah HEBU BOFYA PLAY HAPO: