Title: MAGUFULI AWAPA MAKAVU LIVE UPINZANI..!! SIKILIZA AUDIO HII
Author: Unknown
Rating 5 of 5
Des:
Baada ya kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia chama cha mapinduzi Mh. Pombe Magufuli aliweza kuongea maneno yenye msisitizo kuwa ...
Baada ya kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia chama cha mapinduzi Mh. Pombe Magufuli aliweza kuongea maneno yenye msisitizo kuwa "SIMUONI WA KUNISHINDA, SIMUONI WA KUNISHINDA", Kauli hiyo imeweza kuchukuliwa katika hali tofauti ikitafsiriwa kuwa ni kijembe kwenda kwa Mgombea aliyehama chama na kwenda chama kingine ambaye kwa sasa yupokatika mchakato wa kusimama kama mgombea urais wa chama hicho. HEBU MSIKILIZE HAPA: