Kenyan President Uhuru Kenyatta
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameweza kushare nasi Picha zinazo onesha akiagana na Rais wa Marekani wakati alipokuwa akielekea Nchini Ethiopia mara Baada ya kumaliza ziara ya siku mbili nchini kenya.
Seeing off US President @BarackObama at JKIA as he departs for Addis Ababa, Ethiopia pic.twitter.com/w4pfvSOoN0
— Uhuru Kenyatta (@UKenyatta) July 26, 2015