Unknown Unknown Author
Title: TANZANIA YAPANGWA KUCHEZA NA MALAWI KATIKA MECHI ZA KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania imepangwa kucheza na Malawi katika mechi za kufuzu kwenye kombe la dunia za mwaka 2018 ambazo z...
Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania imepangwa kucheza na Malawi katika mechi za kufuzu kwenye kombe la dunia za mwaka 2018 ambazo zitafanyika nchini Urusi.
fifa draw
Katika kutafuta washindi watakaofaulu kucheza mashindano hayo ya Kombe la Dunia kwa Mwaka 2018, Timu 26 kutoka bara la Afrika zitamenyana kwa mchezo wa nyumbani na Ugenini katika hatua ya Kwanza. Baada ya mzunguko huo wa kwanza kumalizika na kupatikana washindi 13, washindi watajiunga na timu zingine 27 katika mzunguko wa pili ilikutafuta timu 20 zitakazo cheza mzunguko wa tatu.

Timu zitakazo Shiriki Mzunguko wa Kwanza ni kama:
SOMALIA Vs NIGER
SOUTH SUDAN Vs MAURITANIA
GAMBIA Vs NAMIBIA
SAO TOME E PRINCEPE Vs ETHIOPIA
CHAD Vs SEIRRA LIONE
COMOROS Vs LESOTHO
DJBOUTI Vs SWAZILAND
ERITREA Vs BOTSWANA
SEYCHELLIS Vs BURUNDI
LIBERIA Vs GUNIEA BISSAU
CENTRAL AFRICAN REPUBLIC Vs MADAGASCA
MAURITIUS Vs KENYA
TANZANIA Vs MALAWI

About Author

Advertisement

 
Top