Title: KILICHO MKUTA AUNT EZEKIEL BAADA YA KUPIGA PICHA HIZI NA KUZITUNDIKA MTANDAONI, JE BASATA NA HILI HAWALIONI?
Author: Unknown
Rating 5 of 5
Des:
Staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel amepondwa na baadhi ya mashabiki wake kwa kupiga picha hizi akionyesha tumbo lake ukigingatia yeye n...
Staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel amepondwa na baadhi ya mashabiki wake kwa kupiga picha hizi akionyesha tumbo lake ukigingatia yeye ni mjamzito. Picha hizi zimekuwa zikisambaa kwa kwenye mitandao ya kijamii na wengi wameonyesha kuchukizwa na tabia iliyozuka ya mastaa wa Bongo kufanya hivi kwa kuwaiga mastaa wa nchi za ughaibuni.