
SHETA Katika pozi picha ya albertManifaster
Msanii wa Kiume wa Kizazi kipya a.k.a Bongo Fleva anaye julikana kwa jina la Shetta au Baba Qayla, Siku za hivi Karibuni ameweza kuwaacha wa tz Midomo wazi na kujiuliza je Ni kitu gani kimewakumba hawa wasanii wa Tanzania Hasa katika Nyanja hii ya Kufuata maadili ya Nchi na Tamaduni ya hapa Nchini.
Shetta aliweza kutumia Akaunti yake ya Kijamii kuweka Picha ambayo Kiukweli ukiiangalia kwa Jicho la Tatu haikufaa kuwekwa pale ukilinganisha na yeye kuwa Kioo cha Jamii.
Tulizoea Wasanii wa Kike tu Ndio wamejiweka Hivyo sasa Tatizo hili limeanza kuota Mizizi na Kufikia na wasanii wa Kiume kuanza kutupia Picha zisizofaa kuwekwa wazi.
Nii simalize maneno waweza Kujionea hapa Mwenyewe
Tags
HABARI ZA WASANII