HATIMAE BELLA AVALISHWA PETE YA UCHUMBA NA LUTEN KARAMA, PICHA ZOTE ZIKO HAPA

Luten Karama na BellaMsanii wa rap Tanzania Luten Karama [Gangwe Mob] jumamosi ya May 23 2015 amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake ambaye ni msanii wa bongo fleva Bella. Kitendo hicho kimafanyika Kigamboni pale Club Kakala. 
Luten Karama na Bella 
Luten Karama na Bella 
Luten Karama na Bella 
Luten Karama na Bella

Hongera kwa wapenzi hawa.
Previous Post Next Post