DEPAY ATUA LONDON LEO, ATAMBA KUWAFIKIA MESSI NA RONALDO


Depay
Depay alipotembelea London leo

Memphis Depay amesema anajiandaa kuwa mchezaji bora wa dunia baada ya kujiunga na Manchester United.Juma lililopita, klabu hiyo ya Old Trafford alithibitisha kumnasa nyota huyo wa kimataifa wa Uholanzi kwa dau la paundi milioni 25.

Depay amesema anataka kufikia kiwango cha Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ili kuwa mchezaji bora wa dunia."Naamini naweza kuwa mchezaji bora wa dunia".

DepayNyota mpya wa Manchester United
Previous Post Next Post