Chama hicho kimeweka rekodi ya kipekee katika ukanda huu Baada ya kuingiza wanachama takribani 300 ndani ya dakika 45 katika mtaa wa Kilimani hewa mjini Nachingwea ambapo Zitto aliingia mjini hamo kimyakimya kwa ajili ya kushiriki mazishi ya baba mzazi wa mwandishi wa habari wa kampuni ya Mwananchi, Peter Nyanje.
Zitto alidhihirisha kukubalika na wananchi baada ya wananchi hao kubaini alikuwa ndiye.
Zitto ambaye muda mwingi alikuwa ametulia na kujiweka katika kundi la watu wa kawaida.
Mnyetishaji huyo wa habari hii ambaye hakutaka jina lake liandikwe Mtandaoni, Alisema eneo ambalo lilitia fora ni kijiji cha Mtua."bro(kaka) yule jamaa anakubalika,pale Mtua amesababisha bendera za CHADEMA kushushwa pale Mtua,wala hakuwaamrisha bali tulishangaa wanamshangilia kwenda kushusha bendera ya CHADEMA,na wengi wao walikuwa vijana,"alisema.