Kunawatu marafiki wamebisha kwenye academic ya TUZO kwamba vijana awapigi live sijui live wanatumia vyombo gani sijui ila MUNGU akisema time NI time ila kwenye dunia ukipewa mamuzi kuwa fear kwa chochote tusijifanye MUNGU watu alafu chukulieni tangu nilipoingia kwenye usimamizi wa tasnia hii 1999 nimebuni vingapi nimefanya mangapi wasanii wangu ninao wasimamia awajai kupata TUZO ila mie najua mnataka niruzi hope mie bado nasonga ila nawakumbusha sifanyi mziki eti kisa TUZO nafanya ILI kupunguza makali ya maisha mtaani kwa vijana wa kitanzania wenzangu ila kuna siku naamini ntaonekana mbora kwa imani yangu INSHAALLAH.
Hapo jana Kupitia mtandao wa Instagram Msanii Diamond Platnumz aliweza kufunguka haya kuhusiana na Tuzo hizo na sababu ya yeye kwa nini aombi kupigiwa Kura....
Well" Nimekuwa nikipokea maswali na Comment nyingi eti kwanini sitangazi vipengele vyangu vya Tunzo watu wanipigie kura...tafadhali naomba mniskilize kwa umakini:Ikiwa MOE MUSIC hakuonekana ni Mmoja ya Mwanamuziki bora Chipukizi.. NDAGUSHIMA ya Ommy Dimpoz haikuonekana inafaa kugombea kama Moja ya Video bora..Video ya Rich Mavocal - PACHA WANGU haikuonekana inafaa kugombea kama moja ya video bora.... YAMOTO BAND licha ya kuvuma na kujaza kila show ya kila pembe ya Tanzania ila Mwisho wa Siku wameambulia Category Mbili tu Unafkiri mimi nina haja gani ya Kuomba kura???? Hivi kuna Nyimbo zimependwa na kuvuma kama NITAJUTA ama NISEME ya YAMOTO BAND Tanzania?? Eti mwisho wa siku, watoto wa watu licha ya Juhudi zote eti hazikustahili wameambulia Category Mbili tu... Hivi kweli Tunakuza Muziki wetu au Tunaua??? Mimi Kuwa na Categories 10 na Kuongoza kuwa na Vipengele vingi kuliko Masanii yoyote hakunifanyi eti nifurahie Wengine wanapoumizwa kwasababu kama leo wameumizwa wao basi kesho pia nami ntaumizwa ...Pia Kwangu mimi sifanyi mziki ili Nifaidike bali nafanya ili wasanii na Taifa langu pamoja na Tasnia yangu izidi kufika mbali na tuheshimike... I have been to this Industry zaidi ya Miaka Mitano (5 ) so panapo NAMNA Napajuaga mapema na Ndiomaana sitaki kuwapotezesha watu pesa zao wanipigie kura halaf ziende na maji... Wakiona kuna mahala nilistahili watatoa wakiona sijastahili ni haki yangu kutopewa...Nilishawai hata kutopewa tunzo kabisa ila Mpaka leo sijawai shuka na Sitokaa Nishuke labda Waniue!....Napost PART 2