UNALETWA KARIBU NA VIDEO MPYA YA KAMIKAZE "NIKIKUONA", ITAZAME HAPA
byUnknown-
0
Baada ya kuitambulisha video yake club bilicanas, hii ndio video mpya ya Kamikaze ‘Nikikuona’ kwa wale walioshindwa kuhudhuria show. Audio imetayarishwa na y Godfather Mbezi na video na Young Wallace. Enjoy The Good Music::