Wananchi wa eneo hilo nao wamepigwa na butwaa kwa tukio hilo. Taarifa zaidi zinasema Mwalimu huyo amedhamiria kuomba uhamisho wa haraka sana kutoka katika eneo hilo kwa sababu inaonekana wenyeji hawamtaki kutokana na yeye kushirikiana na serikali ya Kijiji kuwakamata wazazi wote ambao wanawaachisha shule watoto wao ili kuolewa.
Bado tunalifuatilia suala hili kujua ukweli wa taarifa hizi hivyo endelea kutembelea blog hii kwa taarifa kamili, kwani hadi hivi sasa Polisi bado hawajathibitisha tukio hili.
ORIGINAL POST BY BURUDANI TZ