SHILOLE NA NUH MZIWANDA NDANI YA AFRIKA KUSINI, JE UNATAKA KUJUA NINI WAKIFANYACHO? NIMEKUWEKEA HAPA
byUnknown-
0
Msanii Shilole a.k.a Shishi baby na Mpenzi wake ambaye ni msanii Nuh Mziwanda wamewasili Afrika Kusini tayari kwa show tatu kubwa walizoandaliwa kwenye miji mitatu mikubwa Afrika Kusini.
Kwenye mahojiano na Shilole kutoka Afrika Kusini Lindiyetu.com imefahamu kuwa Shilole na Nuh watafanya show Cape Town, George [Karibu na Cape Town] na Pritoria. Show zinaanza leo 30, 1 na Tarehe 2.