Unknown Unknown Author
Title: NHIF YAENDELEA KUWAHAMASISHA WANANCHI WA KILWA KUJIUNGA NA CHF
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Rehani Athumani (kulia) akikabidhi baadhi ya mashuka kwa Mwenyekiti ...
NHIF KILWA
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Rehani Athumani (kulia) akikabidhi baadhi ya mashuka kwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Chumo, Khatib Riwanda kwa matumizi ya Zahanati ya Kijiji hicho cha Chumo, wakati wa muendelezo wa Kampeni yake iliyofanyika leo kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Chumo, Kata ya Chumo, Kilwa Mkoani Lindi. Katikati ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoa wa Lindi, Fortunata Raymond.
NHIF KILWA
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Rehani Athumani akizungumza na Wakazi wa Kijiji cha Chumo juu ya umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) inayofanywa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF, wakati wa muendelezo wa Kampeni yake iliyofanyika leo kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Chumo, Kata ya Chumo, Kilwa Mkoani Lindi.
NHIF KILWA

Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoa wa Lindi, Fortunata Raymond akieleza jambo kwa Wakazi wa Kijiji cha Chumo juu ya umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) inayofanywa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF, wakati wa muendelezo wa Kampeni yake iliyofanyika leo kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Chumo, Kata ya Chumo, Kilwa Mkoani Lindi.
NHIF KILWA
Mwakilishi wa Shirika lisilo la Kiserikali la Mtandao wa Mifuko ya Afya ya Jamiii nchini (TNCHF), Kidani Mhenga akiwapa somo Wakazi wa Kijiji cha Chumo juu ya umuhimu wa wananchi hao kujua taratibu zote zinafanywa katika vituo mbalimbali vya Afya na kuhoji mapato na matumizi ya fedha za Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) inafanywa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF, wakati wa muendelezo wa Kampeni yake iliyofanyika leo kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Chumo, Kata ya Chumo, Kilwa Mkoani Lindi.
NHIF KILWA
Sehemu ya Wakazi wa Kijiji Chumo, Kata ya Chumo wilayani Kilwa wakifatilia kwa makini shughuli nzima za kampeni ya uhamasiahaji kwa wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) inayofanywa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) katika halmashauri kumi nchi nzima.
NHIF KILWA
Wataalam wa Afya kutoka Hospitali ya Kinyonga Wilaya ya Kilwa wakitoa huduma
NHIF KILWA
Sehemu ya Wakazi wa Kijiji cha Chumo wakiwa wamehamasika na kuamua kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) inayofanywa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), wakati wa muendelezo wa awamu ya pili ya kampeni ya uhamasiahaji kwa wananchi kujiunga na Mfuko huo.


Picha na Othman Michuzi, Lindi.

About Author

Advertisement

 
Top