NAY WA MITEGO KUFANYA COLLABO NA WASANII WA KIKE TU

Nay Wa Mitego ni miongoni mwa wasanii wa Bongo Fleva ambao wameshafanya collabo nyingi na wasanii wengine wa Bongo, na collabo yake ijayo ni wimbo mpya wa muimbaji wa kike Dayna Nyange aliomshirikisha Nay Wa Mitego.
Nay wa Mitego na Dyna Nyange
Kupitia Instagram Nay amesema kwamba kuanzia sasa watu watarajie kumsikia zaidi kwenye collabo za wasanii wa kike kuliko wa kiume, yaani kama akifanya na wasanii 10 wa kike atafanya na mmoja wa kiume.

Alipost picha ya kupromote wimbo mpya wa Dayna na kuandika:

“#Dyna_Nyange ft #Mr_Nay #Nitulize #Coming_Soon

Ni moja Kati ya ngoma ambayo nina imani itafanya vizuri sana… Nw nimeamua kufanya collabo na wasanii wa kike tuh kwa asilimia 90%.. wanaume 1 wanawake 10.."

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post