EX WA SHAMSA FORD AMMWAGIA SIFA EX WA NAY WA MITEGO SIWEMA, JE ANATAKA KULIPA KISASI?

Mume wa Shamsa Ford, Dicky ametumia ukurasa wake wa Instagram kumwagia sifa aliyekuwa mpenzi wa Nay Wa Mitego, Siwema.

Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya aliyekuwa mke wa Dicky, muigizaji Shamsa Ford kuonekana kwenye picha zilizosambaa mtandaoni akimbusu Nay wa Mitego!

Hivyo anachokifanya Dicky kwa sasa ni kulipiza kisasi kwa Nay aliyemchukulia mke wake!
Hizi ni picha alizoweka kwenye Instagram na kumwagia sifa Siwema.
Siwema 
Post

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post