VIDEO:: DIVA WA CLOUDS FM ACHIZIKA NA BUSU LA ALI KIBA, CHECK ALIVYO TOA SIFA ZA KIMAHABA.

Huenda mtangazaji wa Clouds FM, Diva akawa na kesi ya kujibu kwa mpenzi wake King Crazy GK kwa kilichotokea.
Diva wa Clouds fm
Diva na hitmaker wa Chekecha, Alikiba usiku wa jana waligusanisha lips zao kama sio kubadilisha mate kwenye busu la haja walilopeana.

Diva ameshare video ya tukio zima kwenye Instagram ambayo mwanzoni zinasikika sauti za mashabiki wakishangalia kwa kutaja jina lake kabla ya Alikiba kumsogelea na kumpiga busu.

Huenda mashabiki hao waliwashinikiza wawili hao wafanye hivyo. Hata hivyo Diva ameonesha kulipenda busu hilo na kumwelezea Kiba kama mtu anayebusu vyema.

“having Fun With @officialalikiba. Massive show… thank you guys for coming. kibah thanks for the kiss, sucha Good Kisser ‘ love you all. Thank yol for coming… but this kiss Baby is gon Kill Me lol #Jokking … but ey ‘ it was so much fun’ thank you Guys for coming … Happy People’ we killed it,” ameandika.


CHECK OUT THE VIDEO HERE

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post