Unknown Unknown Author
Title: MKUTANO KUHUSU UENDELEZAJI WA MJI MPYA WA KIGAMBONI WAFANYIKA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALAIMU NYERERE,JIJINI DAR
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Willium Lukuvi akizungumza na wadau kuhusu mpango wa uendelezaji wa mji mpya wa Kiga...
Willium Lukuvi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Willium Lukuvi akizungumza na wadau kuhusu mpango wa uendelezaji wa mji mpya wa Kigamboni, Dar es Salaam ambapo ameruhusu upimaji wa vipande vya ardhi na utoaji wa hatimiliki za ardhi uliokuwa umezuiliwa tangu kutangazwa kwa mradi huo.
Mhe. Angellah Kairuki
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angellah Kairuki akizungumza katika mkutano na wadau kuhusu mpango wa uendelezaji wa mji mpya wa Kigamboni, Dar es Salaam.
Mhe. Willium Lukuvi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Willium Lukuvi akisisitiza jambo wakati wa mkutano na wadau kuhusu mpango wa uendelezaji wa mji mpya wa Kigamboni, Dar es Salaam. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Meck Sadiki. Sehemu ya wadau hao ni pamoja na viongozi wa taasisi za Serikali, mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), madhehebu mbalimbali ya dini na taasisi za elimu na ulinzi na huduma mbalimbali zilizopo katika eneo hilo la Kigamboni.
Sellasie Mayunga
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk. Sellasie Mayunga akizungumza jambo wakati wa mkutano huo.
Bibi Sophia Mjema
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bibi Sophia Mjema akizungumza wakati wa mkutano huo.
Mhe. Willium Lukuvi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Willium Lukuvi pamoja na Naibu wake Mhe. Angellah Kairuki wakimsikiliza mmoja wa wadau Bw. Nyaronyo Kicheere nje ya ukumbi wa mkutano.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top